Tuma Daniel Abdallah
Ikulu, Dar es Salaam, leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Juni 28, 2022 amefanya uteuzi wa Viongozi wa Taasisi kadhaa akiwemo Tuma Daniel Abdallah ambaye Rais amemteua kuwa Mhariri Mkuu wa Mgazeti ya Serikali (Tanzania Standard Newspapers-TSN).
Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus imesema, kabla ya uteuzi huo Tuma alikuwa Kaimu Mhariri Mkuu wa Magazeti hayo.
Wengine walioteuliwa na Rais Samia katika Uteuzi huo ni hawa katika sehemu ya Taarifa hiyo hapo👇
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇