Mkuu wa wilaya ya Same Edward mpogoro akikabidhi pik piki kwa maafisa hugani katika wilaya ya Same na kuwataka wafanye kazi kwa ufanisi mkubwa hasa kutoa Elimu kwa wakulima na uzalishaji wa mazao katika wilaya ya Same mkoa wa kilimanjaro
Pia mpogoro ametoa onyo kali kwa maafisa hao atakaye tumia piki piki hizo kufanya biashara kama (boda boda) atua kali zitachukuliwa zidi yao
Mkurugezi wa Almashaur ya Same Anastazia ruhamvya akizungumza na maafisa hugani katika wilaya ya Same na kuwataka maafisa kutoa Elimu ya kutosha kwa wakulima wadogo na wa kubwa lengo ni kuboresha kilimo katika wilaya ya Same na kukusanya mapato zaidi lengo tufikie ndoto za mhe raisi za kuongeza uchumi kwa wananchi lengo ni kuijenga nchi yetu kwenye kilimo na kuwataka kufanya kazi kwa uwaminifu na uwadilifu
Maafisa ugani wakiwa wanasikiliza maelekezo kutoka kwa mkuu wa wilaya ya Same Edward mpogoro na mkurugezi wa Alhmashaur Anastazia ruhamvya lengo kushirikiana kwa pamoja kwenye kutoa Elimu kwa wakulima lengo ni kukuza uchumi wa wilaya na nchi kwa pamoja picha na Ashrack Miraji
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇