Mbunge wa Njombe Mjini, Philip Mwanyika ameishauri serikali kuacha kuviangalia viwanda vya simenti kama vya uzalishaji madini ili kupunguza gharama za uzalishaji.
Ametoa ushauri huo na mwingine alipokuwa akitoa akichangia mjadala wa muswada wa sheria ya fedha bungeni Dodoma juni 28, 2022.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwanyika akitoa ushauri wake huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇