LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 6, 2022

MWANTONA AHOJI BUNGENI NI LINI VIJIJI 58 VITAPATA UMEME WA REA JIMBO LA RUNGWE+video

 Mbunge wa Jimbo la Rungwe, Anton Mwantona amehoji bungeni leo Juni 6, 2022, ni lini mradi wa REA utakamilika katika vijiji 58 katika jimbo hilo?

Swali lake limeulizwa kwa niaba yake na Mbunge wa Kyela, Ali Jumbe Mlagila wakati wa kipindi cha maswali na majibu ambapo alijibiwa na Naibu Waziri wa Nishati, Steven Byabato.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwantona akipambania wananchi wake kupata umeme.....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages