LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 24, 2022

MULUGO ASHAURI MAKUBWA BAJETI YA KUU YA SERIKALI+video


Mbunge wa Jimbo la Songwe, Philip Mulugo ameiomba serikali kujenga barabara ya lami kutoka Mbalizi hadi Mkwajuni kwani eneo hilo lina hazina kubwa ya amadini, ugunduzi wa mafuta, kilimo na mifugo.

Aidha, ameshauri mambo mengi ikiwemo serikali kutoa pia ruzuku katika shule za binafsi, kuboresha mazingira ya wachimbaji wadogo wa madini katika jimbo hilo. Ametoa ushauri na ombi hilo alipokuwa akichangia mjadala wa hali ya uchumi wa Taifa na mapendekezo ya Bajeti Kuu ya serikali bungeni Dodoma juni 24, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, akitoa mchangoi wake huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages