Mbunge wa Kyela, Ali Mlaghila Jumbe akichangia hali ya uchumi na Bjeti Kuu ya Serikali juni 20, 2022 amesema kuwa hii siyo Nchi ya kujenga uchumi wa bla, bla bali ujengwe uchumi uliokamilika.
Aidha, ameshauri serikali kuweka utaratibu wa kutoa taarifa kwa umma kabla ya misafara ya viongozi kwamba muda fulani kiongozi fulani atapita barabara fulani ili kupunguza usumbufu kwa wananchi wanaosimamishwa kwa muda mrefu kusubiri kiongozi apite.Pia ameshauri kutengwa asilimia moja ya mikopo ya halmashauri kununua taulo za kike na kusambazwa bure mashuleni ili zitumike na wasichana wasiokuwa na uwezo wa kuzinunua.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Jumbe akitoa ushauri wake huo....
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇