LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 27, 2022

MGALU AMPONGEZA RAIS SAMIA KUPUNGUZA GHARAMA YA TOZO ZA MIAMALA+video


 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Pwani, Subira Mgalu amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kuwa msikivu kutokana na kilio cha wananchi kwa kupunguza tozo za miamala kwa takribani asilimia 60.
Aidha Mgalu ameshukuru fedha za tozo za miamala kusaidia ujenzi wa vituo vya afya 9 mkoani Pwani.

Ametoa shukrani hizo akichangia mjadala wa muswada wa sheria za fedha bungeni Dodoma Juni 27, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mgalu akitoa shurani hizo kwa Rais....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages