Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga, Lucy Mayenga (kulia) akimpongeza Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Rose Tweve kwa kufunga pingu za za maisha na Mbunge wa Masasi Cecil Mwambe. Pongezi hizo alizitoa baada ya Naibu Spika wa Bunge, Mussa Zungu kuwapongeza bungeni kwa hatua hiyo na kueleza kuwa kitendo hicho kimeliheshimisha Bunge.
Mbunge wa Mufindi Kusini, David Kihenzile akiuliza swali bungeni.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akijibu maswali ya wabunge mbalimbali bungeni Dodoma leo.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Mchemba akizungumza na Mbunge wa Kwimba, Mansoor
Mbunge wa Busanda, Tumaini Magessa (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Muleba Kaskazini, Charles Kaijage.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata akibadilishana mawazo na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Ruvuma, Jacquiline Msongozi. |
Waziri wa TAMISEMI, Bashungwa (kulia), akizungumza na Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi.
Mbunge wa Lupa, Masache Kasaka akiingia bungeni Dodoma.
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Profesa John Pallangyo.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Catherine Magige
Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida Keneni
Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Matiko
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga, Mhandisi Mwanaisha Ulenge.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇