Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango akilakiwa baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali nchini Rwanda leo. Makamu wa Rais anatarajia kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 26 wa Wakuu wa Serikali wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Madola nchini humo.
Your Ad Spot
Jun 22, 2022
MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO AWASILI MJINI KIGALI NCHINI RWANDA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇