Mbunge wa Arumeru Mashariki, Dkt John Pallangyo amehoji bungeni Dodoma leo Juni 13, 2022 kutaka kujua ni nini kinachokwamisha hadi sasa ujenzi wa Stendi mpya ya Madila wilayani Arumeru?
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Pallangyo akiipambania stendi hiyo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDAMHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇