LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 16, 2022

BUTONDO AIOMBA SERIKALI KUCHANGIA UJENZI WA KITUO CHA POLISI WILAYA YA KISHAPU+video

Mbunge wa Jimbo la Kishapu, Boniface Butondo ameiomba serikali kuchangia ujenzi wa Kituo cha Polisi ngazi ya Wilaya ya Kishapu ambacho wananchi wameshachangia sh. milioni 50. 

Butondo ametoa ombi hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma leo Juni 16, 2022, na kujibiwa na Naibu Waziri Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini......

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Butondo akitoa ombi lake hilo.... 

 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages