Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano EWURA, Titus Kaguo akitoa maelezo kwa Waziri Mkuu, Majaliwa kuhusu utendaji wa wakala hiyo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea Banda la Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) wakati wa Maonesho ya Wiki ya Wizara ya Nishati na taasisi zake kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 25, 2022. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu mpya wa EWURA, Modestus Lumato.
Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt Tulia Ackson akitembelea Banda la EWURA.
Spika Dkt Tulia akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watendaji wa EWURA.
Dkt Tulia akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato (kulia) pamoja na baadhi ya watendaji wa EWURA.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Mkuu na Spika wakitembelea banda hilo.....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇