Wabunge wa Viti Maalumu wa waliotimuliwa na CHADEMA, wataendelea kupeta bungeni hadi uamuzi wa Mahakama utakapotolewa.
Taarifa hiyo imetolewa na Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson wakati wa kikao cha Bunge leo jijini Dodoma.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Spika Tulia akitoa taarifa hiyo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇