Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Patricia Scotland, Ikulu Tunguu, Zanzibar, leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Azimio la Jumuiya ya Madola (Charter of the Commonwealth) kutoka kwa Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Mhe. Patricia Scotland mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Tunguu, Zanzibar, leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe. Patricia Scotland mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Tunguu, Zanzibar, leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe. Patricia Scotland aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Tunguu, Zanzibar, leo (Picha na Ikulu).
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇