Mbunge wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo ameiomba serikali kukipatia kivuko Kisiwa cha Rukuba ambacho wananchi wake kwa muda mrefu wamekuwa wakipata tabu ya usafiri.
Pamoja na mambo mengine, Prof. Muhongo ameomba kivuko hicho alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi bungeni Dodoma Mei 24, 2022. Aidha, ameshauri serikali kutowapatia miradi mingine makandandarasi wato wanaoshindwa kukamilisha miradi ya barabara kwa muda uliopangwa.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, akiwasilisha ombi na ushauri huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇