Mbunge wa Madaba, Joseph Mhagama amewaomba mawaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwenda jimbo la Madaba kusuluhisha migogoro ya ardhi.
Ametoa ombi hilo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo bungeni Dodoma Mei 26, 2022.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mhagama pamoja na mambo mengine akiwapongeza mawaziri hao na kuwaomba wafike jimboni kwake kusuluhisha migogoro....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
O754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇