Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Mchechu akielezea mikakati mbalimbali ya uboreshaji wa shirika hilo wakati wa semina kwa wabunge iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Msekwa, bungeni Dodoma Mei 16, 2022.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula akisema maneno ya utangulizi kabla ya kumkaribisha , Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemiah Mchechu.
Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Allan Kijazi akisalimiana na mmoja wa wabunge waliohudhuria semina hiyo.
Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu akitoa maoni na ushauri jinsi ya kuliboresha zaidi shirika hilo.
Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa akitoa ushauri wake jinsi ya kuliendeleza shirika hilo.
Mbunge wa Singida Kaskazini, Ramadhan Ighondo akitoa ushauri
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Kijazi akifafanua jambo wakati wa semina hiyo
Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwanyika akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa NHC, Mchechu
Baadhi ya maafisa wa NHC
Wabunge wakisikiliza wakati Mchechu aklielezea mpango mkakati wa kuliboresha shirika hilo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Your Ad Spot
May 17, 2022
MCHECHU AUPIGA MWINGI KWA WABUNGE MIKAKATI KABAMBE YA UBORESHAJI WA NHC
Tags
Biashara#
featured#
Share This
About Author CCM Blog
featured
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇