Mbunge wa Ludewa, Joseph Kamonga amehoji bungeni Dodoma Mei 5, 2022 kutaka kujua ni lini itaanza kuwalipa wananchi waliotwaliwa ardhi yao kupisha ujenzi wa viwanda maeneo ya Liganga na Mchuchuma.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kamonga akiwapigania watu wake....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDAMHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇