Mbunge wa Hanang Mhandisi Samwel Hayuma ameiomba serikali kutilia umuhimu wa kuijenga Barabara ya Katesh- Hydom ili kurahisisha mawasiliano ya usafiri kwa wananchi na watalii.Aidha ameomba daraja la Munguli B lijengwe haraka kabla ya mvua kuanza ili kuwapunguzia adha wananachi wa Kondoa na Hanang.
Ametoa ametoa ombi lake hilo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi bungeni Dodoma Mei 23, 2022.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Hayuma akitoa mchango wake huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇