Mbunge wa Segerea, Bonna Kamali ameishauri serikali badala ya kujenga nyumba za walimu kwa kufuta mfumo, ijengo kwa utaratibu wa majimbo.
Ametoa ushauri huo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Mei 10, 2022, na kujibiwa na Naibu Waziri wa Tamisemi, David Silinde.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, akitoa ushauri wake huo...
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇