Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Maleko akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia bungeni Dodoma Mei 11, 2022, ameitaka wizara hiyo kueleza idadi kubwa ya wanafunzi mil. 14 wanaojiunga shule za msingi nchini lakini wanaoruhusiwa kujiunga na elimu ya sekondari ni mil. 2 tu, je hao mil 12 wanapotelea wapi kila mwaka.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, akitoa mchango wake huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇