Mbunge wa Ludewa, Joseph Kamonga ameiomba serikali kujenga barabara katika mgodi wa makaa ya mawe ya Maxcoal iliyopo Ludewa ambayo kwa mwaka malori takribani 4000 kwa mwezi yanasafirisha makaa hayo.
Aidha, Kamonga ameishukuru serikali kwa ujenzi wa miradi ya barabara wilayani Ludewa wakati huohuo ameiomba serikali barabara ya lami ifikishwe Ludewa Mjini.
Pamoja na mambo mengine Mbunge Kamonga, ametoa ombi hilo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi bungeni Dodoma Mei 24, 2022.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kamonga aktoa ombi lake hilo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇