Mbunge wa Kigamboni, Dkt Faustine Ndugulile ameishauri serikali katika maboresho ya sera na mitaala ya elimu, somo la tehema liwe la msingi katika ngazi zote za elimu nchini ili kuendana na soko la sasa duniani.
Aidha, Dkt Ndugulile akitoa maoni yake katika mkutano wa wabunge uliondaliwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Dodoma Mei 7, 2022 jijini Dodoma, ameshauri sera na mitaala iende na wakati wa soko la dunia, lakini pia elimu iendane na ujuzi na ufundi.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Ndugulile akitoa maoni yake hayo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇