Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipongezwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge,Jerry Silaa baada ya kuzindua huduma hizo. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka.
Huduma mpya zilizozinduliwa
Baadhi ya waendesha bodaboda na bajaji wakiwa katika hafla hiyo.
Baadhio ya wafanyakazi wa NMB
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na,Mwenyekiti wa Bodi ya NMB Dkt. Edwin Mhede (kulia) na Ofisa Mtendaji Mkuu, Ruth Zaipuna.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA






No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇