Waziri wa Madini, Dotto Biteko amewataka madalali wa madini nchini kusajili haraka chama chao kiwe na nguvu ili kiaminiwe na Serikali pamoja na kusaidia kudhibiti utoroshaji wa madini. Biteko amesema hayo alipokutana na viongozi wa CHAMATA na kufanya nao mkutano katika moja ya ofisi za Bunge, jijini Dodoma Aprili 14, 2022 ambapo walieleza changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo wanapouza madini.
Mwenyekiti wa Chama Cha Wanyabiashara wa Madini (Mawakala wa Madini-Brokers) Tanzania (CHAMATA),Jeremiah Kituyo akisoma risala mbele ya Waziri wa Madini, Biteko na kuelezea changamoto wanazokabiliana nazo.
Viongozi wa CHAMATA na maofisa wa Wizara ya Madini wakiwa katika mkutano huo
Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Bahati Makaya akielezea baadhi ya changamoto
Augustino Samsoni mjumbe wa chama hicho
Saad Ramadhani kutoka Tabora
Peleus Kyakalaja kutoka Dar es Salaam
Ali Amour Mwenyekiti wa CHAMATA Mkoa wa Dodoma.
Thomas Kawawa Katibu Mkuu CHAMATA
Wambura Mseit kutoka Mkoa wa Mara
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video ujue yaliyojiri kwenye mkutano huo....
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇