LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 22, 2022

RAIS SAMIA KUZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO MAREKANI NA MEXICO KESHO


 Taarifa zilizopatikana zimesema, muda ambao Rais Samia atazungumza na Watanzania hao waishio Marekani na Mexico umebadilika tofauti na ilivyokuwa awali.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, tofauti na muda uliotajwa kwenye tangazo la awali, sasa muda itakuwa ni Saa 11 jioni Marekani hadi saa 1 usiku, hivyo kwa watakaopenda kufuatilia tukio hilo, kwa mida hiyo kwa Tanzania itakuwa ni saa 7 usiku hadi saa 9 usiku.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages