LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 12, 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU WA BENKI YA EQUITY, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity Dk. James Mwangi aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity Dk. James Mwangi  akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, baada ya mazungumzo yao,  Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya Kumbukumbu na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity Dk. James Mwangi pamoja na Ujumbe alioambatana nao Mkurugenzi huyo, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo. Picha zote na Ikulu

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages