Mbunge wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo akichangia majadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Madini bungeni Dodoma Aprili 29, 2022 ameishauri serikali mambo mengi ikiwemo kuweka akiba nyingi ya madini Benki Kuu ili kulinda uchumi wa nchi.
Pia amesema kuwa ili uchumi wetu ukue zaidi, tutake tusitake lazima tuwekeze kwenye gesi pamoja na kwenye kilimo, ufugaji na uvuvi.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Prof. Muhongo akitoa ushauri wake huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇