Wakazi waishio jirani na matanki ya mafuta ya TAZAMA walipatwa na taharuki baada ya kutokea moto ulitokea maeneo ya Mnadani Kigamboni kwenye shimo la mafuta machafu ikidaiwa wafanyakazi wakiwa na Boss wao mwenye Asili ya Kichina wakichenjua na kuweka katika mashine hiyo ya kuchenjulia mara zikatoka cheche za moto kuanza kukimbia na moto kuwaka kwa kasi. Kwa juhudi kubwa kwa Jesshi la Zimamoto na Uokoaji, Polisi na kushirikiana kwa nguvu kubwa na Diwani Zacharia Mkundi (pichani hayup). kwa kutafuta Greda kwa lengo la kuvuta magari yalioyokuwa na maji kushindwa kufika eneo la tukio na hatimae moto huo ulidhibitiwa (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).
Your Ad Spot
Apr 6, 2022
MOTO WALETA TAHARUKI KWA WANANCHI MAENEO YA KIGAMBONI
Tags
featured#
Habari#
Share This
About Author CCM Blog
Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇