Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga, Mhandisi Mwanahamisi Ulenge ameiomba serikali kuwagawia wanawake eneo la uchimbaji madini mkoani humo ili waweze nao kulimiliki na kuinua kipato chao. Ametoa ombi hilo kwa Waziri wa Madini, Dotto Biteko katika semina kwa wabunge wanawake ya furasa ya uwekezaji katika sekta ya madini iliyofanyika Aprili 23, 2022 kwenye ukumbi wa Bunge wa Msekwa, jijini Dodoma.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Ulenge akiwapambania wanawake....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇