bunge wa Mwanga, Joseph Tadayo akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya TAMISEMI Aprili 20, 2022 bungeni Dodoma, ameitaka serikali kutekeleza ahadi ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kujenga Stendi ya Kisasa wilayani Mwanga na kutoa kipaumbele cha ajira kwa walimu wanaojitolea wilayani humo.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Tadayo akichangia mjadala huo.....
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇