Mbunge wa Viti Maalumu, Bahati Ndingo akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, bungeni Dodoma Aprili 22, 2022 ameishauri Serikali kukitumia ipasavyo Chuo cha Utumishi kuwafunda watumishi wa umma kabla ya ajira.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Bahati akitoa mchango wake huo....
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO BLOG
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇