Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana akifurahia jambo na Katibu Mkuu wa CCM Danuel Chongolo walipokuwa wameketi, wakati wa hafla ya mapokezi ya Makamu Mwenyekiti huyo, Jijini Dar es Salaam, iliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jublee, leo.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana
akivishwa skafu na Kijana wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) wakati wa hafla ya mapokezi aliyofanyiwa Jijini
Dar es Salaam, iliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jublee, leo.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana
akiwasalimia wana CCM wakati wa hafla ya mapokezi aliyofanyiwa Jijini
Dar es Salaam, iliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jublee, leo.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana
akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Kate Kamba alipowasili kwenye hafla ya mapokezi aliyofanyiwa Jijini
Dar es Salaam, iliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jublee, leoMakamu Mwenyekiti wa CCM Bara Abdulrahman Kinana akiwasalimia baadhi ya Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam, alipowasili kwenye hafla hiyo.
Wana CCM wakiwa kwenye shangwe wakati wa hafla hiyo.
Wana CCM wakiwa kwenye hafla hiyo.
Wana CCm wakiwa kwenye hafla hiyo.Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Your Ad Spot
Apr 10, 2022
MAPOKEZI YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA NDUGU KINANA DAR ES SALAAM, LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot










No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇