Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wameshiriki ibadaya Misa Takatifu ya Sikukuu ya Pasaka katika Kanisa Katoliki Parokia ya Maria Theresa Ledochowska iliyopo kiwanja cha ndege Jijini Dodoma. Ibada hiyo imeongozwa na Padri Gilbert Magidale. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇