Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. George
Boniface Simbachawene (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,
Bunge, Sera na Uratibu, katika hafla fupi iliyofanyika leo tarehe 02
Aprili 2022 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Damas Daniel
Ndumbaro (Mb) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria katika hafla fupi
iliyofanyika leo tarehe 02 Aprili 2022 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Pindi Hazara Chana
(Mb) kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii katika hafla fupi iliyofanyika
leo tarehe 02 Aprili 2022 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Jaji Mstaafu
Ibrahim Mipawa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili katika hafla fupi
iliyofanyika leo tarehe 02 Aprili 2022 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Peter Ilomo kuwa
Mjumbe wa Baraza la Maadili katika hafla fupi iliyofanyika leo tarehe 02
Aprili 2022 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Suzan Mlawi kuwa
Mjumbe wa Baraza la Maadili katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu
Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 02 Aprili 2022.Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Mawaziri
pamoja na Mwenyekiti na Wajumbe wa Baraza la Maadili katika hafla fupi
iliyofanyika leo tarehe 02 Aprili 2022 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi
mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Mawaziri pamoja na Mwenyekiti na
Wajumbe wa Baraza la Maadili katika hafla fupi iliyofanyika leo tarehe
02 Aprili 2022 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Kattanga, Spika wa Bunge Mhe. Tulia Ackson, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera, Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb), Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Damas Daniel Ndumbaro (Mb) pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Pindi Hazara Chana mara baada ya hafla fupi iliyofanyika leo tarehe 02 Aprili 2022 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇