Polisi wakishughulikia kuuchukua mwili wa mtu mmoja ambaye ambaye inaahofiwa amefariki dunia baada ya kugongwa na gari katika eneo la Mdaula, mkoa wa Pwani, leo. Gari lililohusika na ajali hiyo, halikusimama baada ya tukio hilo na mtu huyo aliyefariki bado hajatambuliwa. (Picha na Bashir Nkoromo)
Your Ad Spot
Apr 2, 2022
GARI LAGONGA MTU NA KUMUUA MDAULA, PWANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇