Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Madini Tanzania (STAMICO), Dkt Venance Mwasse akitoa ufafanuzi katika semina ya Wabunge Wanawake ya kuwajengea uelewa kuhusu fursa za uwekezaji katika sekta ya madini jijini Dodoma Aprili 23, 2022, amesema shirika hilo lina mpango wa kununua mitambo 10 ya kuwasaidia wachimbaji wadogo wa madini nchini.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Mwasse akielezea mpango huo
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇