Mbunge wa Jimbo la Ushetu , Kahama mkoani Shinyanga, Emmanuel Charahani ameiomba serikali kuharakisha upelekaji maji ya Ziwa Victoria Ushetu ili wananchi waondokane na adha. Charahani ametoa ombi hilo alipokuwa akichangia mjadala wa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, bungeni Dodoma Aprili 13, 2022.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Charahani akitoa mchango wake huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇