Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utaalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Godfred Mbanyi ametangaza mbele ya wanahabari jijini Dodoma Machi 10, 2022, kuwa katika mtihani wa 23 wa bodi hiyo asilimia 65 ya watahiniwa wamefeli hivyo wengine watapaswa kurudia baadhi ya mitihani ambayo hawakufanya vizuri.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utaalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Godfred Mbanyi (katikati) akitangaza mbele ya wanahabari jijini Dodoma Machi 10, 2022, kuwa katika mtihani wa 23 wa bodi hiyo asilimia 65 ya watahiniwa wamefeli hivyo wengine watapaswa kurudia baadhi ya mitihani ambayo hawakufanya vizuri. Kushoto ni Meneja Masoko na Uhusiano wa bodi hiyo, Shamim Mdee na Kaimu Mkurugenzi wa Mafunzo, AmaniNgonyani.
Wakipongezana na kuagana baada ya kumaliza kutangaza matokeo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, endelea kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mkurugenzi Mtendaji Mbanyi akitangaza matokeo hayo...
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇