Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema kuwa katika mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan imeanzishwa mifumo mbalimbali ya Tehamai inayosaidia kurahisisha utendaji kazi.
Mhagama ametoa onyo kwa watendaji na wataalam kwamba watakaojaribu kuichezea mifumo hiyo watachukulia hatua kali za kimaadili na kisheria.
Ameielezea mifumo hiyo katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma Machi 16, alipokuwa akitangaza mafanikio ya Rais Samia mwaka mmoja tangu ashike madaraka Machi 19, 2022.
Baadhi ya watendaji wa wizara hiyo.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Mhagama akielezea kuhusu kazi za mifumo hiyo na kutoa onyo kwa watakaojaribu kuchezea mifumo hiyo.....
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇