LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 5, 2022

TANZANIA U17 KUCHEZA NA BOTSWANA JUMAPILI KOMBE LA DUNIA WANAWAKE


WACHEZAJI wa timu ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17 wakifanya mazoezi kujiandaa na mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Botswana Jumapili Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages