LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 24, 2022

SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MASPIKA WA BUNGE LA SUDAN KUSINI NA MALAWI

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (katikati), akizungumza na Spika wa Bunge la Sudan Kusini, Mhe. Jemma Kumba (kulia) pamoja na Spika wa Bunge la Malawi, Mhe. Catherine Hara baada ya mkutano uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia, leo Machi 24, 2022 alipohudhuria Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages