Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Sahaka Hamdu Shaka akizungumza alipokuwa mgeni rasmi katika ya kongamano la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza mwaka mmoja kwa mafanikio madarakani, lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu, jijini Mwanza. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Sahaka Hamdu Shaka akiwasili katika ukumbi wa Rock City Mall jijini Mwanza kwa ajili ya kongamano la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza mwaka mmoja kwa mafanikio madarakani, lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu, lililofanyika jijini Mwanza, jana.Wana CCM wakifuatilia kongamano la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza mwaka mmoja kwa mafanikio madarakani, lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu, lililofanyika jijini Mwanza, jana. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Sahaka Hamdu Shaka alikuwa mgeni rasmi katika kongamano hilo.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Sahaka Hamdu Shaka akiwasili katika ukumbi wa Rock City Mall jijini Mwanza kwa ajili ya kongamano la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza mwaka mmoja kwa mafanikio madarakani, lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu, lililofanyika jijini Mwanza, jana.
Wana CCM wakifuatilia kongamano la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza mwaka mmoja kwa mafanikio madarakani, lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu, lililofanyika jijini Mwanza, jana. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Sahaka Hamdu Shaka alikuwa mgeni rasmi katika kongamano hilo.

Vijana wakifurahia wakati wakifuatilia kongamano la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza mwaka mmoja kwa mafanikio madarakani, lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu, lililofanyika jijini Mwanza, jana. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Sahaka Hamdu Shaka alikuwa mgeni rasmi katika kongamano hilo.

Your Ad Spot
Mar 26, 2022
Home
featured
siasa
SHAKA KATIKA KONGAMANO LA UVCCM SENETI YA VYUO NA VYUO VIKUU MWANZA LA KUMPONGEZA RAIS SAMIA
SHAKA KATIKA KONGAMANO LA UVCCM SENETI YA VYUO NA VYUO VIKUU MWANZA LA KUMPONGEZA RAIS SAMIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇