LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 17, 2022

RAIS SAMIA AONGOZA KUMBUKIZI YA MWAKA MMOJA TANGU ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA DK. MAGUFULI AFALIKI DUNIA, ILIYOFANYIKA CHATO, GEITA, LEO

Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiweka Shada la Maua kwenye Kaburi la aliyekuwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dk. John Magufuli, baada ya Misa Takatifu iliyofanyika leoMachi 17, 2022, katika Uwanja wa Michezo wa Magufuli, Chato mkoani Geita, ikiwa ni katika Kumbukizi ya Mwaka Mmoja tangu Dk. Magufuli afariki Dunia
Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akimpa pole Mama Janeth Magufuli, Mjane wa aliyekuwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dk. John Magufuli, baada ya kuweka Shada la maua kwenye kaburi baada ya Misa Takatifu iliyofanyika leoMachi 17, 2022, katika Uwanja wa Michezo wa Magufuli, Chato mkoani Geita, ikiwa ni katika Kumbukizi ya Mwaka Mmoja tangu Dk. Magufuli afariki Dunia
 Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akitia saini kwenye kitabu cha maombolezo ya Kumbukizi ya mwaka Mmoja tangu kufariki Duniaweka aliyekuwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dk. John Magufuli.

Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akizungumza na Waombolezaji na Wananchi kwa jumla wakati wa Kumbukizi ya mwaka mmoja tangu aliyekuwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dk. John Magufuli kufariki Dunia, iliyofanyika leo Machi 17, 2022, katika Uwanja wa Michezo wa Maguli, Chato mkoani Geita.
Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango akitia saini kwenye kitabu cha maombolezo ya Kumbukizi ya mwaka Mmoja tangu kufariki Dunia aliyekuwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dk. John Magufuli.
Baadhi ya Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Kumbukizi hiyo.
Baadhi ya Wanafamilia na waombolezaji mbalimbali wakiwa kwenye kumbukizi hiyo. (Picha zote na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages