Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akipokea Taarifa ya Kikosikazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa kutoka kwa Mwenyekiti wa Kikosikazi hicho Prof. Rwekaza Mukandala, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 21 Machi, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akizungumza baada ya kupokea Taarifa ya Kikosikazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa kutoka kwa Mwenyekiti wa Kikosikazi hicho Prof. Rwekaza Mukandala, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 21 Machi, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mwenyekiti wa Kikosikazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa Prof. Rwekaza Mukandala, Ikulu Jijini Dar es Salaam, baada ya Taarifa ya Kikosikazi hicho, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 21 Machi, 2022. Katikati ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha
ya kumbukumbu na baadhi ya Wajumbe wa Kikosikazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia
ya Vyama vingi vya Siasa, baada ya kupokea Taarifa yao Ikulu Jijini Dar es
Salaam, leo tarehe 21 Machi, 2022. Jumla ya Wajumbe hao ni 24. (PICHA NA IKULU).
Your Ad Spot
Mar 21, 2022
Home
featured
Kitaifa
RAIS SAMIA AKABIDHIWA TAARIFA YA KIKOSIKAZI CHA KURATIBU MAONI YA WADAU WA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI VYA SIASA HAPA NCHINI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
RAIS SAMIA AKABIDHIWA TAARIFA YA KIKOSIKAZI CHA KURATIBU MAONI YA WADAU WA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI VYA SIASA HAPA NCHINI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
Tags
featured#
Kitaifa#
Share This
About CCM Blog
Kitaifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇