LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 5, 2022

NAIBU WAZIRI RIDHIWANI: WANANCHI HESHIMUNI MIPAKA, MATUMIZI BORA YA ARDHI


 Wakazi wa Kijiji Cha Kwa zoka kilichopo Halmashauri ya Chalinze,wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Ridhiwani Kikwete(hayupo pichani) alipokua akizungumzia.wananchi kuheshimu mipaka pamoja na matumizi Bora ya Ardhi.


Ridhiwani amesema hayo baada ya kujitokeza Kwa migogoro ya Ardhi katika Jimbo la Chalinze ambayo inasababishwa na water Dani wasio waaminifu kuuza Ardhi kinyemela ambapo aliwataka kuacha tabia hiyo na kuwashirikisha watalaam wa mipango miji pindi wanapotaka kuuza au kurasimisha ardhi zao.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages