Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew amewataka watumishi wa wizara hiyo kutunza taswira ya wizara kwa kufanya kazi kwa uadilifu na kutekeleza kwa wakati miradi ya wizara.
Kundo ameyazungumza hayo alipokuwa akifunga Baraza la Wafanyakazi wa wizara hiyo jijini Dodoma Machi 26, 2022. Amewataka kuacha tabia ya kukwamisha miradi hiyo kwa maslahi binafsi.

MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇