LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 3, 2022

MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI MKUTANO WA UNEP NAIROB KENYA

 

   

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 3 Machi, 2022 akishiriki Mkutano maalum wa kuadhimisha miaka hamsini ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) unaofanyika katika makao makuu yake Jijini Nairobi, Kenya.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages