LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 31, 2022

FEDHA ZA UVIKO-19 ZAZIDI KUWANEMESHA MIRADI YA MAJI MUSOMA VIJIJINI+video


 FEDHA ZA UVIKO-19: MAJI YA BOMBA YA KUTOKA ZIWA VICTORIA kwenda kwenye Vijiji vya Jimbo la Musoma Vijijini 


I - Vijiji vya KANDEREMA-BUGOJI- KABURABURA

*Maji ya Ziwa Victoria kutokea chanzo kilichojengwa Kijijini Suguti, Kata ya Suguti


*Thamani ya Mradi:

Tsh MILIONI 500,000,000 (Tsh 500m, Fedha za UVIKO-19)


Ujenzi wa Tenki la Lita 200,000 Mlimani Nyaberango - ujenzi unaendelea


II - Vijiji vya NYASAUNGU NA KURWAKI


*Chanzo cha maji kimejengwa Kijijini Kwibara, Kata ya Mugango (Mradi wa Mugango-Kiabakari-Butiama)


*Thamani ya Mradi:

Tsh 300,000,000 (Tsh 300m, fedha za UVIKO-19)

 

MRADI KABAMBE WA BOMBA LA MAJI LA MUGANGO-KIABAKARI-BUTIAMA


*Uzalishaji wa maji wa awali ni LITA 17.5 MILIONI kwa siku na baadae uzalishaji utaongezwa uwe mara mbili na kufikia LITA 35 MILIONI kwa siku.


*Thamani ya Mradi

TSH BILIONI 70.5


Vijiji vya Musoma Vijijini:


Kata ya Mugango -

1. Kwibara

2. Nyang'oma


Kata ya Tegeruka -

3. Tegeruka

4. Mayani

5. Kataryo


*Maji ya bomba hili baadae yatasambazwa kwenye Kata za Busambara, Kiriba,  Ifulifu na kwingineko


Ofisi ya Mbunge

Jimbo la Musoma Vijijini

www.musomavijijini.or.tz




No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages