LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 25, 2022

ZIARA YA RAIS SAMIA FALME ZA KIARABU, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mwanamfalme wa Abu Dhabi na Naibu Kamanda wa Majeshi ya Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan mara baada ya kuwasili Abu Dhabi leo tarehe 25 Februari, 2022. PICHA NA IKULU


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages